Skicka länk till app

Tanzania Tech - Kwa Teknolojia


4.6 ( 2976 ratings )
Nyheter
Utvecklare: Amani Joseph
Gratis

Tanzania Tech ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Tanzania Tech inasaidia jamii kuelewa kwa undani kuhusu Teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Bado tunaendela kuboresha programu yetu pamoja na kuongeza vipengele vipya ili kuhakikisha kuwa hupitwi na Habari yoyote ya Teknolojia.